Tatizo la tumbo kujaa gesi husababishwa na kumeza chakula pamoja na gesi inayotolewa katika vyakula mbalimbali tunavokula ambayo hujaa tumboni na kwenye utumbo mdogo. Hali hii husababisha tumbo kujaa au kuvimba na mtu hutoa gesi hiyo kwa njia ya ushuzi na kubeua.
NINI HUSABABISHA?
Tatizo ili mara nyingi husababishwa na huambatana na mambo yafuatayo:
1. Kula vyakula vyenye mafuta mengi ambayo huchelewesha tumbo kufunguka kwa ajili ya usagaji wa chakula.
2. Kunywa vinywaji vyenye Carbonates, cola na kula vyakula vyenye gesi kama maharage, bigiji, vitunguu, kabichi n.k
3. Msongo wa mawazo na hasira
4. Kula haraka haraka na kula unaongea.
5. Uvutaji wa Sigara
6. Magonjwa na maambukizi katika mfumo wa chakula asa kwenye tumbo na utumbo ambayo huzuia kusagwa na kufyonzwa kwa chakula.
TIBA YAKE
Kunywa chai ya tangawizi au karafuu itasaidia kupunguza gesi
Unaweza kunywa glasi moja ya juisi ya Limao baada ya kula.
Tafuna mbegu za maboga zinasaidia kulainisha mfumo wa chakula
Lalia ubavu wa kushoto na pumua kwa kasi ili kupunguza gesi tumboni
Kunja miguu na ikalie uku ukinyoosha mikono na kuinamia mbele itasaidia kuongeza kasi ya mfumo wa chakula kufanya kazi na kuondoa gesi.
Fanya mazoezi mepesi ya kutembea na kuruka ruka
Kula na tafuna chakula taratibu na epuka vyakula vyenye gesi na mafuta mengi,
Nenda hosipitali kama tatizo ili linaambatana na kuharisha, kutapika, maumivu makali ya tumbo, kinyesi chenye rangi tofauti au damu na maumivu ya kifua.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Blog Subscription
Search this blog
KARIBU
SIKILIZA NA WA KWETU HAWA
Popular Posts
-
Habbat Soda au Nigella Sativa kwa jina la kisayansi ni dawa ya asili yenye uwezo wa kutibu na kuponyesha kabisa magonjwa ...
-
Tatizo la tumbo kujaa gesi husababishwa na kumeza chakula pamoja na gesi inayotolewa katika vyakula mbalimbali tunavokula ambayo hujaa tumbo...
-
Mafua yanaweza kuwa moja ya sababu kubwa inayofanya watu wengi kushindwa kwenda kazini, katika shughuli mbalimbali za uzalishaji au kuhudhu...
-
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمٰنِ ٱلرَّحِيمِ Aayat al-Kursi - Transliteration ALLAAHO LAA ELAAHA ILLAA HOWA, AL-HAYYUL QAYYOOMO, ...
-
Inasemekana wanawake wengi wenye ndoa wanakuwa na tabia zifuatazo zinazosababisha waume zao kwenda nje ya ndoa na wale wasio na tabia ya ...
-
Lamborghini Gallardo baada ya kugonga mti na kuparamia vizuizi vya barabarani. KATIKA kuonyesha jeuri ya fedha, mmiliki mmoja wa gari ain...
-
Picha aliyoweka Wema Sepetu Instagram kuelezea ugomvi uliotokea, na kuandika: ” Da fight I got into today caused me da marks I hav on my baq...
-
Mpenzi wa Wema wa zamani Yussuph Jumbe Aonesha Masikitiko yake kwa Ugomvi wa Wema na Mama yake Nakuandika Haya hapa Chini kwenye Facebo...
-
Biashara zote zilisimama kwa muda katika stendi kuu ya mabasi ya Bomet nchini kenya wikiendi hii baada ya kundi kubwa la w...
-
Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz Muonekano wa kipengele cha tuzo anachowania Diamond Platinumz. STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...
Translate
About Me
Archives
-
▼
2015
(17)
-
▼
April
(17)
- Kutana na Dawa ya Habbat Soda yenye uwezo wa kutib...
- APATA AJALI NA LAMBORGHINI YA MIL 675, ASEMA ATANU...
- Official Video HD | Pnc - Yule Yule
- ANGALIA Official Video HD | Best Nasso - Natarudi ...
- SABABU YA TUMBO KUJAA GESI NA TIBA YAKE
- MTOTO NA TV
- DAWA RAHISI YA MAFUA
- KICHAA KAPIGA SIMU HOSPITALI
- NEW Official Video HD | Barnaba - Suna
- KESI YA KUDAIWA DENI KWA D’BANJ
- ANGALIA NYIMBO YA HADIJA DIAMOND FT HADIJA KOPA
- Ayat al Kursi - Quran 2-255
- ALI CHOCKY ATUA RASMI TWANGA PEPETA
- DIAMOND PLATINUMZ ATAJWA KUWANIA TUZO YA 'RADIO AF...
- COMEDY:MASSAWE
- COMEDY: DOCTOR NA JASON
- MASWALI MAGUMU YA WATOTO
-
▼
April
(17)
Mbarikiwe kwa somo lenu zuri,nimeelimika
ReplyDeleteAsante sana.
ReplyDeleteGood healthy advice, God bless you
ReplyDeletehabari yako mkuu? Mimi nina swali je mm nina matatizo ya stomch hivyo hivyo nilipimwa kupitia Endoscopy nikaambiwa stomach yangu ipo sawa haina vidonda ila nina gesi nyingi, je naweza kufanya kama ulivyo eleza? Naomba jibu.
ReplyDeletehabari yako mkuu? Mimi nina swali je mm nina matatizo ya stomch hivyo hivyo nilipimwa kupitia Endoscopy nikaambiwa stomach yangu ipo sawa haina vidonda ila nina gesi nyingi, je naweza kufanya kama ulivyo eleza? Naomba jibu.
ReplyDeleteNaombeni msaada 0764666666 nateseka sana
ReplyDeleteAhsante mkuu
ReplyDelete