ALIYEKUWA Mkurugenzi wa kundi la muziki la Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Ali Chocky, ameamua kurudi katika bendi yake ya zamani ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ inayomilikiwa na Asha Baraka ambaye ni mkurungezi wa bendi hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari katika Hoteli ya Nemax Royal, kiongozi wa Twanga Pepeta, Luiza Mbutu, amesema kurudi kwa wakongwe na waasisi kwenye bendi yao ambao ni Chocky na Super Nyamwela, kutaleta nguvu mpya na mapinduzi katika muziki wa dansi nchini kutokana na uwezo wao binafsi.
Kwa upande wake, Chocky amesema kuamua kwake kurudi katika bendi yake ya zamani ni kutokana na mapenzi yake binafsi na wala hajalazimishwa na mtu huku akisisitiza kuwa hajafulia na ndiyo kwanza moto umeanza.
“Tupunguze maneno-maneno; kurudi kwangu na Super Nyamwela ndani ya Twanga si kitu cha ajabu, tumeamua wenyewe na kila mtu ana uhuru wake binafsi wa kufanya jambo kwa muda muafaka bila kupangiwa.
“Wakati nasafiri kwenda Japan niliwaambia wanamuziki wa bendi yangu kwamba yeyote anayeweza kunisubiri anisubiri na kama wapo watakaotaka kuondoka waende, lakini niliporudi niliwakuta wameshatawanyika, sasa nipo nyumbani. Mashabiki wangu wategemee makubwa kutoka kwangu kwani muda si mrefu nitaanza kupakua nyimbo kama vile Kichwa Chini, Usiogope Maisha na nyingine nyingi,” alisema Chocky.
|
8Wednesday,April
ALI CHOCKY ATUA RASMI TWANGA PEPETA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Blog Subscription
Search this blog
KARIBU
SIKILIZA NA WA KWETU HAWA
Popular Posts
-
Habbat Soda au Nigella Sativa kwa jina la kisayansi ni dawa ya asili yenye uwezo wa kutibu na kuponyesha kabisa magonjwa ...
-
Tatizo la tumbo kujaa gesi husababishwa na kumeza chakula pamoja na gesi inayotolewa katika vyakula mbalimbali tunavokula ambayo hujaa tumbo...
-
Mafua yanaweza kuwa moja ya sababu kubwa inayofanya watu wengi kushindwa kwenda kazini, katika shughuli mbalimbali za uzalishaji au kuhudhu...
-
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمٰنِ ٱلرَّحِيمِ Aayat al-Kursi - Transliteration ALLAAHO LAA ELAAHA ILLAA HOWA, AL-HAYYUL QAYYOOMO, ...
-
Inasemekana wanawake wengi wenye ndoa wanakuwa na tabia zifuatazo zinazosababisha waume zao kwenda nje ya ndoa na wale wasio na tabia ya ...
-
Lamborghini Gallardo baada ya kugonga mti na kuparamia vizuizi vya barabarani. KATIKA kuonyesha jeuri ya fedha, mmiliki mmoja wa gari ain...
-
Picha aliyoweka Wema Sepetu Instagram kuelezea ugomvi uliotokea, na kuandika: ” Da fight I got into today caused me da marks I hav on my baq...
-
Mpenzi wa Wema wa zamani Yussuph Jumbe Aonesha Masikitiko yake kwa Ugomvi wa Wema na Mama yake Nakuandika Haya hapa Chini kwenye Facebo...
-
Biashara zote zilisimama kwa muda katika stendi kuu ya mabasi ya Bomet nchini kenya wikiendi hii baada ya kundi kubwa la w...
-
Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz Muonekano wa kipengele cha tuzo anachowania Diamond Platinumz. STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...
Translate
About Me
Archives
-
▼
2015
(17)
-
▼
April
(17)
- Kutana na Dawa ya Habbat Soda yenye uwezo wa kutib...
- APATA AJALI NA LAMBORGHINI YA MIL 675, ASEMA ATANU...
- Official Video HD | Pnc - Yule Yule
- ANGALIA Official Video HD | Best Nasso - Natarudi ...
- SABABU YA TUMBO KUJAA GESI NA TIBA YAKE
- MTOTO NA TV
- DAWA RAHISI YA MAFUA
- KICHAA KAPIGA SIMU HOSPITALI
- NEW Official Video HD | Barnaba - Suna
- KESI YA KUDAIWA DENI KWA D’BANJ
- ANGALIA NYIMBO YA HADIJA DIAMOND FT HADIJA KOPA
- Ayat al Kursi - Quran 2-255
- ALI CHOCKY ATUA RASMI TWANGA PEPETA
- DIAMOND PLATINUMZ ATAJWA KUWANIA TUZO YA 'RADIO AF...
- COMEDY:MASSAWE
- COMEDY: DOCTOR NA JASON
- MASWALI MAGUMU YA WATOTO
-
▼
April
(17)
0 comments:
Post a Comment