MASWALI MAGUMU YA WATOTO





MASWALI MAGUMU YA WATOTO...!!! Mtoto: Mama, hivi kabla hujanizaa uliniona!?
Mama: Hapana mwanangu sijakuona.
Mtoto: Kwahiyo ulivyonizaa ulijuaje kwamba ni mimi...!??

0 comments:

Post a Comment