Mpenzi wa Wema wa zamani Aonesha Masikitiko yake kwa Ugomvi wa Wema na Mama yake Nakuandika Hivi
Mpenzi wa Wema wa zamani Yussuph Jumbe Aonesha Masikitiko yake kwa Ugomvi wa Wema na Mama yake Nakuandika Haya hapa Chini kwenye Facebook page yake:
Tabia ya Mwanamke Asiyewasjibika Kitandani
*Mwanamke asiyemtamkia kabisa mumewe kuwa anajisikia kuwa naye.
*Mwanamke ambaye baada ya mechi huwa haonyeshi dalili yoyote kama ameridhika na tendo au hakuridhika
*Mwanamke ambaye akiwahi kulala yeye mume akija hataki kuguswa
*Mwanamke ambaye mumewe akimgusa anakubali huku analalamika .. kama ulikuwa unataka kwa nini hukuwahi kulala unangoja nilale ndo unakuja kunisumbua..
*Mwanamke huyo hatingishiki kwenye mechi kata kidogo tena amenuna... anangalia kushoto au kulia anangoja goli liingie ... kama golikipa aliyekata tamaa ya kudaka penati......
*Mwanamke haweki kabisa maandalizi kama zana za kufanyia usafi baada ya mechi kama taulo, kitambaa nk
Ziko nyingine nyingi ambazo ni kero zinazowafanya wanaume kusononeka....na mara nyingine juamua kuzira na kuwa mwanzo wa mmoja kuhama chumba..... Wanawake wenye tabia hizi jirekebisheni
Labels:
BURUDANI
Wimbo la Ngono Kufanyika Ndani ya Magari lazidi Shika Kasi Dar-Embu Ona Hawa
KUFUATIA vitendo vya usaliti wa ndoa, uasherati, ufuska na ukiukwaji wa maadili ya Kitanzania kwa wanandoa, wiki iliyopita Ijumaa iliendelea na Operesheni Fichua Maovu kwa kuzunguka jijini Dar usiku wa manane na kunasa tukio la mke wa mtu akifanya uzinzi ndani ya gari.
Kabla ya kufanya operesheni hiyo, waandishi walitaarifiwa kwamba Wilaya ya Kinondoni jijini Dar ndiyo inayoongoza kwa wake na waume za watu kufanya vitendo vya ngono kwenye magari.
Maeneo yaliyodaiwa kwamba wazinzi hao hupenda kuyatumia ni Coco Beach, Leaders Club, Mlimani City na sehemu kubwa ya vitongoji vya Sinza na Mwenge, Dar.
Mbali na waume na wake za watu, wengine wanaotajwa kufanya vitendo vya ngono ndani ya magari ni mastaa wakubwa ambao wanaogopa kwenda kukodi vyumba mahotelini na gesti wakihofia watajulikana kutokana na umaarufu wao.

Hatimaye Irene Uwoya afunguka kuhusu ishu yake na Diamond!
Baada ya habari nyingi sana kuhusu Irene Uwoya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na Diamond platnumz kutawala vyombo vya habari na kwenye mitandao hapo juzi, hatimaye bongomovies.com tuliamua kumtafuta kwa simu mwanadada Irene Uwoya ili tuweze kumuuliza juu ya tuhuma hizi za yeye kuingilia penzi lwa mwanadada Penny kwa kijana wa “mbongofleva” diamond platnumz.
Baada ya majaribio mengi ya kupiga simu yake ambayo ilikuwa haipatikani muda wote wa mchana baadaye kwenye mida ya saa kumi na mbili hivi jioni tuliweza kumpata hewani na Jibu lake lilikuwa moja tuu kuwa “achana nazo” na sisi tukaona kweli tuachane nazo ila tukufukishie wewe msomaji wetu mpendwa “response” hiyo ili mwenyewe uamue na kutafakari. Hilo ndo jibu alilotupa mwanadada mrembo wa bongo movies Irene Uwoya kuhusu tuhuma za yeye kimapenzi na msanii Diamond.

Wema Sepetu Aweka Picha Kuonyesha Alivyochunwa na Mama yake Baada ya Ugomvi
Picha aliyoweka Wema Sepetu Instagram kuelezea ugomvi uliotokea, na kuandika: ” Da fight I got into today caused me da marks I hav on my baq… things I do for da people I love always cost me… nd u knw wat ama kip doin.”
Staa huyo wa Bongo Movie ambaye pia ni mmilikiwa kampuni ya Endless film, amemfikisha mama yake mzazi anayejulikana kama Miriam Sepetu kwenye Kituo cha Polisi Kijitonyama jijini Dar es salaam kwa madai ya kwenda nyumbani kwake na kufanya vurugu zilizosababisha kuharibika kwa samani nadani ya nyumba yake.
Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Jumatano iliyopita, nyumbani kwa Wema, Kijitonyama, jijini Dar.
Mbali na mama mtu, wengine waliofikishwa kituoni hapo ni dada mkubwa wa Wema aitwaye Nuru na kijana aliyefahamika kwa jina moja la Bestizo ambaye inasemekana ni mshirika mkubwa wa Diamond kwenye masuala ya mtandao wa msanii huyo.
“Wema alikuwa nyumbani kwake usiku huo, watuhumiwa hao wakamzukia na kuanza kumchapa makofi ya ‘kelbu’ ambapo katika mshikemshike huo, baadhi ya vitu vilivunjika na kumtia hasara staa huyo,”
Haikujulikana mara moja ni kitu gani kilisababisha mama mzazi huyo, dada mtu na kijana asiyekuwa ndugu kwenda kwa Wema na kutenda kosa hilo.
Wema alikwenda polisi na kuandikisha maelezo ambayo yameingizwa kwenye jalada lenye kumbukumbu; KJN/RB/2755/2013 SHAMBULIO, KUHARIBU MALI.
ONAYALIYOMKUTA MWENZENU
Biashara zote zilisimama kwa muda katika stendi kuu ya mabasi ya Bomet nchini kenya wikiendi hii baada ya kundi kubwa la wanaume kumvamia mwanamke mmoja aliyekuwa amevaa kingua kifupi na kisha kumvua huku wengine wakimchezea nyeti zake.....
Mwanamke huyo ambaye inadaiwa alienda katika stendi hiyo kufanya booking ya basi,alikutwa na kisanga hicho baada ya kuvamiwa na kundi kubwa la wapiga debe na vibaka ambao walianza kwa kumzomea na kumrushia makopo ya maji......
Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo,sakata hilo lilichukua takribani dakika 15 za kumzomea na kumtukana wakiwa wamemzunguka kabla ya kumvua nguo zake.....
"Walimzomea na kumtukana vibaya huku wakiwa wamemzingira.Juhudi za wanawake wasamaria wema kumuokoa zilikwama kwa kuwa kundi lilikuwa kubwa na wao walikuwa wanaogopa kufanyiwa hivyo"...Alisema shuhuda huyo
Mbali na shuhuda huyo,Bwana Sang naye analielezea tukio hilo kwa kudai kuwa ile sketi ilikuwa ni zaidi ya fupi na pia ilikuwa nyepesi na ndani ndani hakuwa na kitu, hali iliyosababisha wapiga debe hao wamvae na kumvua.....
Bwana Sang anadai kuwa kesi nyingi za ubakaji zimekuwa zikisababishwa na wanawake wenyewe kutokana na mavazi yao wanayoyavaa....
Baada ya tukio hilo kupamba moto, polisi walifika japo walichelewa na hatimaye kufanikiwa kumwokea mrembo huo mikononi mwa vibaka hao....
Kutokana na tukio hilo,shirika la maendeleo ya wanawake limelaani vibaya tukio hilo na kuahidi kuchukua hatua kali zaidi endapo udhalilishaji huo utaendelea na kufumbiwa macho....

Subscribe to:
Posts (Atom)
Blog Subscription
Search this blog
KARIBU
SIKILIZA NA WA KWETU HAWA
Popular Posts
-
Habbat Soda au Nigella Sativa kwa jina la kisayansi ni dawa ya asili yenye uwezo wa kutibu na kuponyesha kabisa magonjwa ...
-
Tatizo la tumbo kujaa gesi husababishwa na kumeza chakula pamoja na gesi inayotolewa katika vyakula mbalimbali tunavokula ambayo hujaa tumbo...
-
Mafua yanaweza kuwa moja ya sababu kubwa inayofanya watu wengi kushindwa kwenda kazini, katika shughuli mbalimbali za uzalishaji au kuhudhu...
-
Mpenzi wa Wema wa zamani Yussuph Jumbe Aonesha Masikitiko yake kwa Ugomvi wa Wema na Mama yake Nakuandika Haya hapa Chini kwenye Facebo...
-
Inasemekana wanawake wengi wenye ndoa wanakuwa na tabia zifuatazo zinazosababisha waume zao kwenda nje ya ndoa na wale wasio na tabia ya ...
-
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمٰنِ ٱلرَّحِيمِ Aayat al-Kursi - Transliteration ALLAAHO LAA ELAAHA ILLAA HOWA, AL-HAYYUL QAYYOOMO, ...
-
Kuna TV moja inakipindi kinaitwa USINIULIZE. KIjana mmoja alikuwa anaangalia kipindi hiki, babake akaaingia na kumuuliza unaangalia nini ...
-
Bili ilivyomchanganya MASSAWE.! MASSAWE alienda na marafiki zake bar kunywa, baada ya kumaliza kutumia akaletewa bili kama ifuatavyo: Man...
-
KUFUATIA vitendo vya usaliti wa ndoa, uasherati, ufuska na ukiukwaji wa maadili ya Kitanzania kwa wanandoa, wiki iliyopita Ijumaa iliendele...
-
Lamborghini Gallardo baada ya kugonga mti na kuparamia vizuizi vya barabarani. KATIKA kuonyesha jeuri ya fedha, mmiliki mmoja wa gari ain...
Translate
About Me
Archives
-
▼
2013
(8)
-
▼
April
(8)
- ANGALIA HII
- TUCHEKI NZIGO HUU KWA PAMOJA
- Mpenzi wa Wema wa zamani Aonesha Masikitiko yake k...
- Tabia ya Mwanamke Asiyewasjibika Kitandani
- Wimbo la Ngono Kufanyika Ndani ya Magari lazidi Sh...
- Hatimaye Irene Uwoya afunguka kuhusu ishu yake na ...
- Wema Sepetu Aweka Picha Kuonyesha Alivyochunwa na ...
- ONAYALIYOMKUTA MWENZENU
-
▼
April
(8)